Exodus 39:27-28

27 aPia akamtengenezea Aroni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji, 28 bna kilemba cha kitani safi, tepe za kichwani za kitani, na nguo za ndani za kitani iliyosokotwa vizuri.
Copyright information for SwhNEN